Much respect to Mzizi Mkavu and all JF Doctors

Jamani napenda kutoa shukran zangu za dhati kwa dokta mzizimkavu na madaktari wote wa JF, japo sikuwahi kuleta uzi humu jukwaani lakini nilikuwa najitahidi sana kufuatilia kwa ukaribu miongozo yao na majibu yao kuhusiana na afya ya uzazi.
I was pregnant, na kwa miongozo yao; I thank God nilifanikiwa kujifungua salama mtoto wa kiume. Niliumwa uchungu for almost 2hrs tu.
God bless you dear doctors, muendelee na moyo huohuo wa kujitoa kusaidia wanajukwaa!

Sukula ubarikiwe Mungu akuongezee uzao
 
call him invisible to show much respect..
 
Hongera mamii, Mungu akukuzie
Mie husema kila siku, JF ni zaidi ya mtandao wa kijamii
Hongereni ma-founder wa Jf
 
Jamani napenda kutoa shukran zangu za dhati kwa dokta mzizimkavu na madaktari wote wa JF, japo sikuwahi kuleta uzi humu jukwaani lakini nilikuwa najitahidi sana kufuatilia kwa ukaribu miongozo yao na majibu yao kuhusiana na afya ya uzazi.
I was pregnant, na kwa miongozo yao; I thank God nilifanikiwa kujifungua salama mtoto wa kiume. Niliumwa uchungu for almost 2hrs tu.
God bless you dear doctors, muendelee na moyo huohuo wa kujitoa kusaidia wanajukwaa!
Picha!picha!picha!
 
Tatizo MziziMkavu ana jina baya but ningekushauri umwite mwanao jina lake, labda umuite kwa kidhungu 'root dry'. Hahahah
Hongera mama
 
Last edited by a moderator:
Mtoto anaitwa MziziMkavu ?
hhahahaahah Angelitaka jina Mwanae ningelimuambia ampe jina langu hili Sir Ibrahim

Hapana my ndugu!
hhahaahahh umempa jina gani?

Tatizo MziziMkavu ana jina baya but ningekushauri umwite mwanao jina lake, labda umuite kwa kidhungu 'root dry'. Hahahah
Hongera mama
MziziMkavu ni jina la Kabila la kizaramo jina langu ninaitwa Sir Ibrahim kama ni mkristo bibie angelimpa jina hili Emanueli kama ni Muislam angelipa jina langu Sir Ibrahim.
 
Back
Top Bottom