Jamani napenda kutoa shukran zangu za dhati kwa dokta mzizimkavu na madaktari wote wa JF, japo sikuwahi kuleta uzi humu jukwaani lakini nilikuwa najitahidi sana kufuatilia kwa ukaribu miongozo yao na majibu yao kuhusiana na afya ya uzazi.
I was pregnant, na kwa miongozo yao; I thank God nilifanikiwa kujifungua salama mtoto wa kiume. Niliumwa uchungu for almost 2hrs tu.
God bless you dear doctors, muendelee na moyo huohuo wa kujitoa kusaidia wanajukwaa!
Sukula ubarikiwe Mungu akuongezee uzao
Mtoto anaitwa MziziMkavu ?
Hongera kwa kujifungua salama...usiache kwenda kliniki.
Jamani napenda kutoa shukran zangu za dhati kwa dokta mzizimkavu na madaktari wote wa JF, japo sikuwahi kuleta uzi humu jukwaani lakini nilikuwa najitahidi sana kufuatilia kwa ukaribu miongozo yao na majibu yao kuhusiana na afya ya uzazi.
I was pregnant, na kwa miongozo yao; I thank God nilifanikiwa kujifungua salama mtoto wa kiume. Niliumwa uchungu for almost 2hrs tu.
God bless you dear doctors, muendelee na moyo huohuo wa kujitoa kusaidia wanajukwaa!
Picha!picha!picha!Jamani napenda kutoa shukran zangu za dhati kwa dokta mzizimkavu na madaktari wote wa JF, japo sikuwahi kuleta uzi humu jukwaani lakini nilikuwa najitahidi sana kufuatilia kwa ukaribu miongozo yao na majibu yao kuhusiana na afya ya uzazi.
I was pregnant, na kwa miongozo yao; I thank God nilifanikiwa kujifungua salama mtoto wa kiume. Niliumwa uchungu for almost 2hrs tu.
God bless you dear doctors, muendelee na moyo huohuo wa kujitoa kusaidia wanajukwaa!
Picha!picha!picha!
mtoto wa kike au kiume
lebeka nasikia umeniita!!!
lebeka nasikia umeniita!!!
hhahahaahah Angelitaka jina Mwanae ningelimuambia ampe jina langu hili Sir IbrahimMtoto anaitwa MziziMkavu ?
hhahaahahh umempa jina gani?Hapana my ndugu!
MziziMkavu ni jina la Kabila la kizaramo jina langu ninaitwa Sir Ibrahim kama ni mkristo bibie angelimpa jina hili Emanueli kama ni Muislam angelipa jina langu Sir Ibrahim.Tatizo MziziMkavu ana jina baya but ningekushauri umwite mwanao jina lake, labda umuite kwa kidhungu 'root dry'. Hahahah
Hongera mama