Muchungaji Mashimo: Wana Simba jiandaeni Kushangilia Ushindi wa goli 2.Asha baraka kawaokoa

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Huyu Pasta keshakula Sadaka ya Asha Bakari buree na ushindi haujapatikana πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

ASHA BARAKA AIOKOA SIMBA KWA KUTOA SADAKA

Mchungaji mashimo aibuka tena kwa kuitabilia SIMBA kushinda leo baada ya Asha Baraka kumuomba.

Your browser is not able to display this video.
 
Duuuh ama kweli Kuna watu wanajua kutumia vichwa vyao kupiga pesa, na bahati mbaya watanzania wengi ni amnazo watu Kama awa wataendelea kuneemeka kwa ujinga wa watanzania, Sasa timu aijashinda sijui sadaka atapelekewa na uyo asha baraka au vipi🀣🀣
 
Mkiambiwa Simba n mambumbu muwe mnaelewa Sasa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…