ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Huyu Pasta keshakula Sadaka ya Asha Bakari buree na ushindi haujapatikana πππππ
ASHA BARAKA AIOKOA SIMBA KWA KUTOA SADAKA
Mchungaji mashimo aibuka tena kwa kuitabilia SIMBA kushinda leo baada ya Asha Baraka kumuomba.