jangala JF-Expert Member Joined Feb 17, 2014 Posts 1,583 Reaction score 2,365 Oct 5, 2016 #1 Ukubali ukatae... Muda pekee ambao unaweza kumzoea DINGI ni pale unapomfundisha kutumia SMARTPHONE…. Wanakuwaga wapole sana aisee unaweza hata kumuagiza maji ya kunywa akakuletea…. Sipendagi ujinga mimi....
Ukubali ukatae... Muda pekee ambao unaweza kumzoea DINGI ni pale unapomfundisha kutumia SMARTPHONE…. Wanakuwaga wapole sana aisee unaweza hata kumuagiza maji ya kunywa akakuletea…. Sipendagi ujinga mimi....
RingaRinga JF-Expert Member Joined Jul 10, 2015 Posts 1,047 Reaction score 521 Oct 6, 2016 #2 Akikugeuka na makwenzi uje hapa kutuambia pia
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 37,957 Reaction score 26,414 Oct 6, 2016 #3 Hao ni madingi wa miaka ya 70s'... Hawa wa dot com wanashindana na watoto wao ku-upload picha Instagram na FB
Hao ni madingi wa miaka ya 70s'... Hawa wa dot com wanashindana na watoto wao ku-upload picha Instagram na FB