Muda gani baada ya kutoa IUD naweza kupata ujauzito

Muda gani baada ya kutoa IUD naweza kupata ujauzito

jlm

Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
29
Reaction score
18
Habarini,

Nahitaji kujua kama kuna mtu ana uelewa zaidi au experience ya ni muda gani ukitoa An intrauterine device (IUD au coil) au wengine wanaita loop, unaweza kupata ujauzito.

Niliweka IUD ya copper about 4 years ago na nataka kuitoa, kama kuna mwenye experience ya hii msaada plz
 
Vinakaa wapi maana vipandikuzi vnakaa kwapani
 
Kama loop haina shida ukitoa tuu unaweza conceive.
 
Back
Top Bottom