KwetuKwanza
Senior Member
- Mar 13, 2023
- 127
- 245
Mimi hua napoa kwanza aidha naswaki then ndo nioge,, na Kama unahitaji kua fit tembea usijogNaomba msaada wa swali la Afya hapa.
Ukifanya mazoezi ya kukimbia Asubuhi (Jogging) unatakiwa kuoga muda Gani mara baada ya kumaliza mazoezi??? Je unatakiwa kuoga mara tu unapomaliza kukimbia au unatakiwa kukaa muda fulani unapomaliza kukimbia?