Muda huu nafuatilia Fifa Araba World Cup. Anayehost haya mashindano ni Morocco

Muda huu nafuatilia Fifa Araba World Cup. Draw yake inafanyika. Anayehost haya mashindano ni Morocco. Hawa jamaa hatuwezi shindana nao.
Hii kitu nilisikia ila nikashangaa inakuwaje FIFA waandae mashindano ya ukanda mmoja.

Anyway, nashauri tufufue mashindano ya CECAFA, tuungane na kanda zingine za kusini mwa jangwa la sahara, tuweke pesa ya maana ili na sisi tuwe na mashindano yetu.
 
Na miongoni mwa waamuzi baada ya kufanikisha mchakato wasimsahau 3 mwalongo
 
Waarabu wanapenda mpira na wanaweka hela ya maana lazima fifa ajisogeze kwao
Maana ukigusa tu briefcase inapasuka
 
Back
Top Bottom