Muda huu upo kazini kuna mtu amekaa anapigia hesabu mshahara wako ambao hata wewe mwenyewe haukutoshi!

Dah!...labda anaongea utani tu, wengine mnachukulia kweli.
Mimi binafsi nilishampa michongo kadhaa ya ajira ambayo ingemlipa vizuri kulingana na fani yake (ni dereva) lakini jibu lake ni moja tu, kuwa hawezi kuajiriwa.

Kwa majivuno kabisa husema ni bora akae kijiweni kuliko kubanwa na tajiri.
 
Uyo awezi kuacha izo tabia,sababu amekua na UJINGA wake
 
Watu bwana, anachokisema mleta mada kuhusu discipline ya pesa ndio principle kubwa ya kufanikiwa kiuchumi hizi propaganda na analysis za motivational speakers kuhusu financial freedom ni utopolo tu. Kuwa na nidhamu ya pesa, accumulate mtaji, invest, simamia business unatoboa.
 
Wewe ndo umenielewa👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾💯✅✅
 
Huyo Usimjibu,achana nae anatoa wapi jeuri ya kuoa wake wawili kipato hana
Ni madharau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…