Muda huu upo kazini kuna mtu amekaa anapigia hesabu mshahara wako ambao hata wewe mwenyewe haukutoshi!

Muda huu upo kazini kuna mtu amekaa anapigia hesabu mshahara wako ambao hata wewe mwenyewe haukutoshi!

Dah!...labda anaongea utani tu, wengine mnachukulia kweli.
Mimi binafsi nilishampa michongo kadhaa ya ajira ambayo ingemlipa vizuri kulingana na fani yake (ni dereva) lakini jibu lake ni moja tu, kuwa hawezi kuajiriwa.

Kwa majivuno kabisa husema ni bora akae kijiweni kuliko kubanwa na tajiri.
 
Uyo awezi kuacha izo tabia,sababu amekua na UJINGA wake
 
Huwezi kuamini muda huu upo kazini kuna mtu mzima kabisa na meno 32 limekaa linapigia hesabu mshahara wako ambao hata wewe mwenyewe haukutoshi.

Afrika ukiwa ni lijinga lisiloheshimu kipato chako, unapata marafiki wengi sana lakini ukiamua kuwa na nidhamu kwa kila senti yako, wanasema ni mbahili una roho mbaya. Maneno siyo mishale, sunda kibunda chako.
Wewe ni broke person ambaye hauna financial freedom na upo na circle kubwa ya watu ambao mnajitafuta .

Hivyo haya ndo madhara
-kuhisi unanyonywa
-kuhisi watu wabaya
-Hasira and mood swings

Unachobidi kuwa nacho usiishi Kwa kutegemea salary peke yake hiyo huitwa Rat race (mbio za panya)

Unaamka
Unaenda kazini
Unarudi nyumbani
Unalala

This is bullshit life you need to be more creative in life

MTU kuupigia hesabu mashahara wako ambao haufiki hata mil 10 means umezungukwa na masikini wengi (consumers) you don't need to hate them but use them in positive way .

Tunahitaji watu Sana in our life Ila jitahidi aina gani ya watu unawahitaji hii itakusaidia Sana .

Hata omba omba ana thamani
Mlevi ana thamani
Mvuta bangi Ana thamani

Kwani kupitia ulevi kuna watu wanatajirika Kwa kuuza pombe refer to Mlokozi n.k

Watu bwana, anachokisema mleta mada kuhusu discipline ya pesa ndio principle kubwa ya kufanikiwa kiuchumi hizi propaganda na analysis za motivational speakers kuhusu financial freedom ni utopolo tu. Kuwa na nidhamu ya pesa, accumulate mtaji, invest, simamia business unatoboa.
 
Wewe ndo umenielewa👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾💯✅✅
 
Huu uzi umenifanya nicheke kwa nguvu. Nipo kweli ofisini na kuna mwamba kanitumia msg sasa hivi kuwa haelewi mazingira ya kwake nimtoe hata na elfu 20.

Kilichonifanya nicheke ni huyu mwamba ana wake wawili (kaongeza mke mwingine wiki iliyopita) na kila siku majigambo yake ni kuwa hawezi kuajiriwa ila hana kazi yeyote ya maana zaidi ya 'mission town'.
Huyo Usimjibu,achana nae anatoa wapi jeuri ya kuoa wake wawili kipato hana
Ni madharau
 
Back
Top Bottom