sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,291
Miaka 50 ya uhuru..kauli mbiu
tumethubutu (kujiunga na JF),tumeweza (kuwa online JF na kufanya kazi at the same time) na tunasonga mbele (tupo online JF masaa 24)..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka 50 ya uhuru..kauli mbiu
Tuwe wazalendo, tanzania itajengwa na watanzania wenyewe! Hautaki welfare nzuri kwa kizazi chako kinachokuja?
hapo ni kwamba Tanzania itajengwa na wenye moyo na italiwa na wenye meno
Mimi nikichapa kazi zikaisha nikawa idle ndiyo naingia JF, ninahofu ya performance za watu kushuka kutoka na kuwa addicted na JF! Kama nilivyosema, siyo mbaya ila tuwe na kiasi :nerd:.
Nimekuwa nikijiuliza hili swali kila siku, Wana JF ambao mmeajiriwa maofisini, hivi huwa mnapata muda kweli wa kufanya kazi za ofisi? Na mada mnazoposti hususan za mahusiano huwa mnazipata wapi? Utafiti nilioufanya kupitia mtandao huu, takriban 500 JF members huwa wako online muda wote wa masaa ya kazi kwenye Jukwaa la mahusiano na Mapenzi. Je ni kweli kuna matatizo ya kimapenzi kiasi hiki hapa TZ?
Leo pekee topic lukuki zimeshapostiwa kabla hata ya lunch time! Ndg zangu, tufanye kazi muda wa kazi, nchi yetu ni maskini, Ebooo!
Wenu,
HP
Madame KH, anatumia 70% ya muda wa mwajiri hapa jamvini kufanya utafiti na 5% kufanya kazi ya mwajiri na 25% kufanya biashara zake nyingine ili kumuongezea kipato.
Umeonaee BAK....!! Nafikiri yamemkuta mwenyewe ndo maana akaandika hivyo!
Nakutakia weekend njema na sherehe njema za uhuru. BTW...utakuwa wapi...tualikane bana..🙂
Kazi na JF zinaenda vizuri sana! Mi nachukulia JF kama bites, natafuna huku naendelea kupiga mzigo