Muda huwa mnapata wapi?

Mimi nikichapa kazi zikaisha nikawa idle ndiyo naingia JF, ninahofu ya performance za watu kushuka kutoka na kuwa addicted na JF! Kama nilivyosema, siyo mbaya ila tuwe na kiasi :nerd:.

ahsante sana kaka..!
 
Acha wivu, kwani we unapungukiwa nini?
Bandwidth walipie wao, roho ikuume wewe.
 

We hv una akili sawa sawa...watu 500 katikq nch ambayo tunakaribia mil 50 hyo ni statistic gan? Tuache tule raha wengine mil 40 laki 9 na 50 wakalime alaaaaaaa....
 
Muda upo. via mobile wana nafasi ya kupost zaidi. Unaweza ukaonekana upo online kumbe hukusign out.
 
mi kwa raha zangu sifanyi kazi nakunywa 2 bia na kuwa online mda wote haswa na cmu kila bar nipo na jf yngu,tz kimeshanuka 2mejisomea hakuna ajira,navuta 2,nasaka mtaji hola,sa hv naish mishen town bob
 
Nimewashauri kwa upendo ndg zangu, tusiwe na jazba ktk hili.
 
Madame KH, anatumia 70% ya muda wa mwajiri hapa jamvini kufanya utafiti na 5% kufanya kazi ya mwajiri na 25% kufanya biashara zake nyingine ili kumuongezea kipato.

Umeonaee BAK....!! Nafikiri yamemkuta mwenyewe ndo maana akaandika hivyo!

Nakutakia weekend njema na sherehe njema za uhuru. BTW...utakuwa wapi...tualikane bana..πŸ™‚
 
Reactions: BAK
Aaaagh akili kumkichwa na sio kazi zote zinataka ung'ang'ane na vitendea kazi 24/7 wengine target ishatinga december hii.....wanasubiri bonus mwaka upinduke....wengine nyt shift mchana unagonga likes na kupost..........KAMA UKO BANK ndo daaah.....post wakati wa kazi umuongezee mteja cash ndo utajua tendo la kutoa kwenye hisabati linatofautiana vip na hyphen
 
Mara nyingi ninapoona post mada za msingi kama hizi huwa nakua mtazamaji tu!
 
Umeonaee BAK....!! Nafikiri yamemkuta mwenyewe ndo maana akaandika hivyo!

Nakutakia weekend njema na sherehe njema za uhuru. BTW...utakuwa wapi...tualikane bana..πŸ™‚


Ahsante sana Madame KH. I wish the same to you...Invitation card yako nimeshaituma siku nyingi πŸ™‚πŸ™‚ Hebu angalia sanduku lako la barua πŸ™‚πŸ™‚

Ubarikiwe sana

 
Hizi shutuma ni sawa na yule anayedai kwa mfano,
"Fulani muda wote yuko baa". "Fulani kila siku yuko kwenye disco".
Sasa unamwonaje huko ikiwa wewe hukuenda ukamwona?
Umewaonaje wana JF kwenye Jukwaa la MMU ikiwa na wewe hukuingia ukawaona?
Nidhamu za uoga hizo!
 
Wengine kazi yao ni hapa hapa JF.
 
Kazi na JF zinaenda vizuri sana! Mi nachukulia JF kama bites, natafuna huku naendelea kupiga mzigo
 
ha ha ha ha, yaan mie kitafunio eti sura yako, jamani dunia ina mambo

Kazi na JF zinaenda vizuri sana! Mi nachukulia JF kama bites, natafuna huku naendelea kupiga mzigo
 
Mi nadhani kila mtu anahitaji entertainment, haiwezekani ukakosa muda wa leisure hata ukiwa mchapa kazi vipi.
Nadhani hata malalamikaji nae ni mdau vinginevyo asingejua kuwa matukio ya mapenzi ni mengi. Tuchape kazi
na pia tutulize ubongo from time to time.:lol:
 

Kwan wewe ni moderator wa JF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…