Muda mfupi baada kuokoa aiba kamera za kanisa

Muda mfupi baada kuokoa aiba kamera za kanisa

fantastic philip

Senior Member
Joined
Oct 17, 2015
Posts
195
Reaction score
688
Mapya yaibuka [emoji44][emoji44]! Muda mchache baada ya kuokoka aiba kamera za kanisa na kutimua nazo [emoji44][emoji44]

David Wanyonyi Simiyu kijana wa nchini Kenya amewaacha watu midomo wazi baada ya kwenda kanisani kuokoka kisha muda mchache kupita akaiba kamera mbili za kanisa ambazo gharama yake imetajwa kukaribia milioni 1 za Kenya(takribani Tsh.20.2 milioni)

Kamera hizo ni mali ya kanisa la Presbyterian Church of East Africa (PCEA) Zimmerman Parish, aliziiba wakati waumini wengine wakiwa wapo kwenye sala nzito na baada ya kumaliza sala wakashtuka kamera zishakwapuliwa na aliyekuja kuokoka

Mamlaka za kupambana na uhalifu nchini humo zimethibitisha kutokea kwa tukio hilo na tayari kamera zimepatikana ingawa kijana aliyeziiba alikuwa bado hajapatikana kwani alitokomea kusikojulikana

Baada ya kuziiba alienda kutaka kuziuza hapo Nairobi ambapo kupitia teknolojia maalumu watu watatu wanaojihusisha kuuza vitu vya wizi walibambwa na kamera hizo na wao tayari wapo chini ya ulinzi huku mtuhumiwa namba moja akiwa bado anasakwa na vyombo vya sheria

[emoji1370][emoji1370][emoji1370]maoni yako

----

Mwzi.JPG
Police has launched manhunt for one David Wanyonyi Simiyu, who allegedly stole two video cameras and their accessories from a church in Nairobi, Kenya.

It was gathered that Simiyu had received salvation at Presbyterian Church of East Africa (PCEA) Zimmerman Parish on Sunday, March 6, 2022.

The Directorate of Criminal Investigations (DCI), in a statement on Saturday, March 12, said that Simiyu stole the media equipments same day as the faithfuls were praying and sold them to unscrupulous dealers.

“Two video cameras and their accessories that were stolen from a city-based Church last Sunday as the service was ongoing, have been recovered by detectives,” the statement read.

“The two professional cameras worth close to Sh1Million disappeared from the Presbyterian Church of East Africa (PCEA) Zimmerman Parish, as the faithful were deep in prayers.

“It is not until the service was over that the church orderlies noticed the cameras were missing, much to the consternation of the congregants and the clergy.

“The Church leadership notified our detectives and sleuths from the Crime Research and Intelligence Bureau, immediately took up the matter. It didn’t take long for the revered crime busters to unmask the author of the crime.

After intensive investigations, detectives established that a recent convert who had received salvation in the Church, was the mastermind behind the disappearance.

David Wanyonyi Simiyu, from Trans-Nzoia county took off with the equipment and sold it to unscrupulous dealers, at Nairobi’s Imenti business hub.

Forensic analysis and surveillance conducted via the DCI mobile laboratory in the heart of Nairobi’s Central Business district, led detectives to the suspects who bought the equipment.

The three Joshua Mulei, Douglas Karanja and Stephen Thuo, who trade in stolen electronic equipment, were unmasked technologically through forensics, in DCI’s new order of conducting business. The two cameras and their accessories were also recovered from the suspects.

The trio are currently in custody at Muthaiga police station as detectives intensify a manhunt for the main thug, David Simiyu.

Source: https://yenmotion.com/man-who-gave-...a-church-steals-cameras-from-the-same-church/
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwauliza uchumi huu nyie Kenya vipi watakuambia ukiachana namambo mengine Tanzanite ndo imetufikisha hapa na mlima Kilimanjaro [emoji23][emoji38][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na democrasia
 
Hapa nina buku mbili ya kenya nani anichenjie fasta nikajilie kuku leo.
 
Ndio dini zenyewe hizi za kuja kwa meli. Wana'muokoa' mtu kiroho, kisha dakika chache baadaye wanamuibia kupitia ule utapeli wa kikapu cha sadaka. Eti anamtolea 'Mungu', alafu wanaenda zao kula nazo bata. Huku waliyemuokoa akirudi zake nyumbani, mikono mitupu, kupambana na shida na minung'uniko isiyoisha kutoka kwa wanaomtegemea. Hii kwa maoni yangu ni sawa na mwizi kawaibia wezi, ngoma draw.
 
Back
Top Bottom