Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dawa ya nini?Bangi ihalalishwe bana! Navuta mwaka wa ishirini huu sijaona madhara,licha ya kuvuta tu natumia pia Kama dawa
mzee ile ng'ombe iliyokuachia tundama tuwili bado unawasiliana nayo?
Kwa hiyo wewe ni mvuta bhangi?Kitu gani kinakufanya useme huungi mkono ? Bangi ni fursa sio uongo aisee . Embu tuache imani potofu kuhusu bangi ni kitu chema mnoo kwa wanaoelewa. Tena bangi ni nzuri kuliko pombe mara mia
Tatizo la kuwa na ukomo wa kufikiria ama tuseme kuwaza kwa kubweteka.Kabla hujafikiria kwamba bangi ni fursa vaa uhalisia wa mwanao kutumia bangi....fikiria ile feeling deep down unasikia mwanao anatumia
Matumizi ya bhangi kama ilivyo tumbaku, ina matumizi kama malighafi yenye manufaa mengine kwa binadamu na si kwa kuvutwa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaa mshamba we kumbe ndo hoja yako hio acha woga weweKabla hujafikiria kwamba bangi ni fursa vaa uhalisia wa mwanao kutumia bangi....fikiria ile feeling deep down unasikia mwanao anatumia
Haramu ni haramu tu hata kama kila mtu anaifanya na dunia kuiona ni sawa.Kiukweli ni muda muafaka kwa serikali kuruhusu bangi ilimwe na kuuzwa atleast kwa watu maalum wenye magonjwa yasiotibika na watu wenye mahitaji maalum.
Vilevile pia kuna soko kubwa sana nje ya nchi kwa walimaji wa bangi ambao wanaweza kuliingizia taifa kwa kulipa kodi na kutengeneza ajira kwa Watanzania wengine wengi tu.
Embu serikali itafakari kwa kina namna muafaka ya kushughulikia hili suala na kuligeuza kama fursa
Mambo yanabadilika na watu watu tunabadilika.
Aaaa mshamba we kumbe ndo hoja yako hio acha woga wewe
Binafsi ninaamini mmea wa bangi hauna shida. Shida iko kwenye matumizi yake. Inawezekana kabisa hatujajua namna nzuri ya matumizi yake.
Mmea huu uliumbwa na Mungu mwenyewe, na ulikwepo kabla ya dhambi haijaingia duniani. "... na tazama kila kitu kilikuwa ni chema." MWANZO 1:31. Ni tofauti na mmea kama mchongoma na miiba ambao wenyewe ulitokea baada ya dhambi kuingia duniani. MWANZO 3:18.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla hujafikiria kwamba bangi ni fursa vaa uhalisia wa mwanao kutumia bangi....fikiria ile feeling deep
Ni bora kutumia Bangi kuliko sigara na pombe...ingawa nayo ina madhara kama itazidi kiwango....hata waheshimiwa baadhi wanatumia....pia baadhi nchi kuna migahawa ya kuuza bangi.