Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 62,101 Reaction score 38,487 Dec 5, 2019 #1 Wakati muafaka sasa hawa watu kuanzia kulipa kodi serikalini kama wanavyolipa wengine. Napendekeza serikali kuanza kutoa tangazo la wote kuwa registered. Else wasiruhusiwe kamwe kujishugulisha na uuzaji wa mali zozote.
Wakati muafaka sasa hawa watu kuanzia kulipa kodi serikalini kama wanavyolipa wengine. Napendekeza serikali kuanza kutoa tangazo la wote kuwa registered. Else wasiruhusiwe kamwe kujishugulisha na uuzaji wa mali zozote.
Kawe Alumni JF-Expert Member Joined Mar 20, 2019 Posts 8,686 Reaction score 12,016 Dec 5, 2019 #2 Wazo zuri Ila Nadhani wanalipa
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,297 Reaction score 18,053 Dec 5, 2019 #3 Watu wa mitaani hao ni ngumu kuwapata. Labda pango lianze kutozwa kodi. Labda kuwe fomu maalum ya kupangisha na jina la dalali liwepo
Watu wa mitaani hao ni ngumu kuwapata. Labda pango lianze kutozwa kodi. Labda kuwe fomu maalum ya kupangisha na jina la dalali liwepo