Muda muafaka wa kujengea kaburi ni upi? Sheria za serikali kuhusu kumiliki kaburi zinasemaje?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,583
Reaction score
42,992
Wazee wenzangu Good morning!

Naomba mnifahamishe muda mzuri wa kujengea kaburi baada ya ndugu kufariki.

Naomba mnijuze sheria za serikali za kumiliki kaburi zinasemaje in case wakitaka kuyahamisha.

Na je, muda maalumu wa kumaliza msiba ni lini ukipita mwaka mmoja hamjamaliza msiba, yaani 40 kuna tatizo?

Wasalaam!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…