Muda muafaka wa kumtahiri mtoto

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Wakuu mko poa?naomba wataalam wa afya wanijuze ni mda upi muafaka wa kumtahiri mtoto wa kiume.Mtoto atahiriwe akiwa na miaka mingapi?
 
Wakuu mko poa?naomba wataalam wa afya wanijuze ni mda upi muafaka wa kumtahiri mtoto wa kiume.Mtoto atahiriwe akiwa na miaka mingapi?
wangu juzi hapa nilimtahiri ana mwaka mmoja. nakushauri mtahiri akiwa na siku kadhaa au miezi michache kabla hajaanza harakati za kutembea, kwasababu wangu pamoja na kwamba ametahiriwa anauguza kidonda nilikuwa namkuta wakati mwingine amapanda juu ya makochi anajitonesha kilichukua mda kupona na kimekaa vizuri tu. nilikuwa naogopa sana kuharibu mashine ya jembe wangu.
 
Haina haraka, mtahiri hata akiwa na miaka 7, kumtahiri mtoto akiwa mdogo kunasababisha uume wake uwe mdogo. My experience
 
Kumtahiri mtoto akiwa mdogo sana kutamsababisha awe na Mboo ndogo sana na nadhani hiki ni chanzo kikubwa cha vibamia. Nashauri umtahiri akiwa na kati ya miaka 7 hadi 10

Mghosi
 
Wangu ana miaka miwili najiandaa kumkata dudu yake.wanashauri akiwa mdogo sana si vizuri.
 
Kumtahiri mtoto akiwa mdogo sana kutamsababisha awe na Mboo ndogo sana na nadhani hiki ni chanzo kikubwa cha vibamia. Nashauri umtahiri akiwa na kati ya miaka 7 hadi 10

Mghosi

Thibitisha acheni mambo ya vijiweni bhana
 
Mwanangu wa kiume tulimtahiri akiwa na miaka 4..nina jirani zangu ambao wote mtu na mumewe ni doctors...walikuwa wananinanga kweli kwa kumchelewesha...first born wao walimtahiri akiwa na 2 weeks kama sikosei...yule dogo saa hizi anakribia miaka 5...kidudu chake kimegoma kukua...very healthy brilliant boy...lakini kidudu kikisimama akiwa anakojoa kiko kama ncha ya kidole hata huwa anadondosha mikojo kwenye kaptula...now wana mtoto mwengine wa miaka 2 mpaka sasa hawajamtahiri...sina uhakika kama kutahiri kuliprovoke hiki kibamia ama ni maumbile tu...ila tahadhari ni bora kabla ya hatari...
 

Wacha jembe langu nilivutie pumzi kidogo warembo wasijelikimbia.
 
Ukimtahiri mtoto mchanga sana mashine huwa haikui. Kovu huwa linazuia ukuaji. Wanaume wengi vibamia tatizo lilianzia kwenye kutahiriwa wakiwa wachanga. At least mtoto awe na 10 years ndio mtahiri. Mashine inakua imesha gain momentum. Kuna uncle wangu alitahiriwa mchanga. Sasa hivi hata yeye mwenyewe anasema anachukia kibamia alichonacho.
 
Aaaah mimi hadi akifikisha miaka 10-12 ndo ataenda katwa. Hii itasababisha hata asiwe na ujinga
 
Mi wangu nilimtahiri akiwa na mwaka na miezi 3,sasa hv yuko poa ht mashine yake iko fresh tu.
 
mimi nilitairiwa nikiwa na miezi mitatu ila inasababisha mashine kuwa ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…