OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wakuu mko poa?naomba wataalam wa afya wanijuze ni mda upi muafaka wa kumtahiri mtoto wa kiume.Mtoto atahiriwe akiwa na miaka mingapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wangu juzi hapa nilimtahiri ana mwaka mmoja. nakushauri mtahiri akiwa na siku kadhaa au miezi michache kabla hajaanza harakati za kutembea, kwasababu wangu pamoja na kwamba ametahiriwa anauguza kidonda nilikuwa namkuta wakati mwingine amapanda juu ya makochi anajitonesha kilichukua mda kupona na kimekaa vizuri tu. nilikuwa naogopa sana kuharibu mashine ya jembe wangu.Wakuu mko poa?naomba wataalam wa afya wanijuze ni mda upi muafaka wa kumtahiri mtoto wa kiume.Mtoto atahiriwe akiwa na miaka mingapi?
Haina haraka, mtahiri hata akiwa na miaka 7, kumtahiri mtoto akiwa mdogo kunasababisha uume wake uwe mdogo. My experience
Haina haraka, mtahiri hata akiwa na miaka 7, kumtahiri mtoto akiwa mdogo kunasababisha uume wake uwe mdogo. My experience
kuna mtu hapendi dudu kubwa?we unapenda dudu lake liwe kubwa ?
Mimi ninaye wa miaka nane sijamkata na ninaye wa miaka miwili pia. Kwangu lazima afikishe miaka 10 . Sitaki akikua atukanwe na wanawake.Wangu ana miaka miwili najiandaa kumkata dudu yake.wanashauri akiwa mdogo sana si vizuri.
Una sababu zozote za kisayansi??
Mimi ninaye wa miaka nane sijamkata na ninaye wa miaka miwili pia. Kwangu lazima afikishe miaka 10 . Sitaki akikua atukanwe na wanawake.
Mghosi
Kumtahiri mtoto akiwa mdogo sana kutamsababisha awe na Mboo ndogo sana na nadhani hiki ni chanzo kikubwa cha vibamia. Nashauri umtahiri akiwa na kati ya miaka 7 hadi 10
Mghosi
Una sababu zozote za kisayansi??
Wangu ana miaka miwili najiandaa kumkata dudu yake.wanashauri akiwa mdogo sana si vizuri.
kuna mtu hapendi dudu kubwa?
we unapenda dudu lake liwe kubwa ?
Mwanangu wa kiume tulimtahiri akiwa na miaka 4..nina jirani zangu ambao wote mtu na mumewe ni doctors...walikuwa wananinanga kweli kwa kumchelewesha...first born wao walimtahiri akiwa na 2 weeks kama sikosei...yule dogo saa hizi anakribia miaka 5...kidudu chake kimegoma kukua...very healthy brilliant boy...lakini kidudu kikisimama akiwa anakojoa kiko kama ncha ya kidole hata huwa anadondosha mikojo kwenye kaptula...now wana mtoto mwengine wa miaka 2 mpaka sasa hawajamtahiri...sina uhakika kama kutahiri kuliprovoke hiki kibamia ama ni maumbile tu...ila tahadhari ni bora kabla ya hatari...