IlangiKwetu
Member
- Oct 9, 2014
- 85
- 33
Naomba kujua muda mwafaka wa mama mjamzito kuanza kuhudhuria kiliniki, hasa mimba ya kwanza. Coz wa mama watoto ana wiki kumi na nne (14) hajaanza kuhudhuria.
Na anasema mtoto hajacheza kwa wiki mbili sasa, pia tatizo hili linasababishwa na kitu gani MziziMkavu watu8 msaada wenu tafadhari.
Alitakiwa aanze alipojigundua au kujihisi mmjamzito.Kwa kawaida inatakiwa akijua tu ana ujauzito anatakiwa aanze kliniki kwani kuna DAWA anatakiwa atumie ambazo na huduma nyingi nyingi ukiangalia watu wengi ambao watoto wao walipata matatizo ya kuzaa watoto wenye vichwa vikubwa ni wale ambao either walichelewa au hawakwenda kabisa clinic . mwambie kuna tu DAWA rule wanatoa clinic TWA kuongeza damu na pia vinasaidia mtoto asizaliwe na uzito MDOGO pia inazuia mtoto asipate spine bifida. Matatizo ya brain na uti Wa mgongo