Muda mwingine madalali wanaharibu kila kitu yaan wanafanya mambo kuwa magumu

Muda mwingine madalali wanaharibu kila kitu yaan wanafanya mambo kuwa magumu

Kijana LOGICS

Senior Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
140
Reaction score
536
Madalali hawa jamaa Kuna muda wanataka kuvuna wasikopanda.

Ni aibu Kua n'a utitiri WA madalali wAnaume wanaosubiri hela ya mahasla mtaani.

Kila MTU apigike kupata pesa dunia ya Leo hakuna Cha mngema .

Léo ukitafuta fremu ya biashara hupati kwa sababu zmezuiliwa na madalali uchwara.

Dalali anatakiwa apate 20,000--ukizid sana 30,000 sasa unakuta dalali ana Kazan umpe hela ya mwezi MZIMA
 
Hakunaga kitu kinachonikera kama hao majamaa ingawaje kuna muda wanarahisisha mambo,mfano kupata nyumba au chumba chenye sifa unazozitaka kwa haraka ni ngumu sana bila hawa jamaa

Hata wale wakatisha ticket wa stand ya mabasi wananikera sana, kwann tusingekuwa tunalipia ticket kwenye mlango wa basi
 
I mean no malice to nobody
FB_IMG_17066368483527569.jpg
 
Kuna kiwanja Mbweni dalali kanambia kinauzwa kwa million 250, sasa wakati tuna kiangalia nikasema. Hiki kiwanja million 250 mbona nyingi sana mmiliki alishtuka kusikia million 250.

Mmiliki alisema mimi nataka million 150 tu huyu dalali mwizi sana🤣🤣
 
Kuna kiwanja Mbweni dalali kanambia kinauzwa kwa million 250, sasa wakati tuna kiangalia nikasema. Hiki kiwanja million 250 mbona nyingi sana mmiliki alishtuka kusikia million 250.

Mmiliki alisema mimi nataka million 150 tu huyu dalali mwizi sana[emoji1787][emoji1787]
Hiyo Ni Biashara inamapunguziano Unaweza Mwambia ok Sawa unauza million 250 lakini mimi Nina million 100 uone anasemaje

Sasa wewe umeambiwa million 250 unajaa umo umo [emoji848] Hivi Una Elewa Maana ya (BROKER)
 
Kuna siku nilikua nauza gari langu, dalali akamleta mteja, nikamwambia mteja aje na dalali kukagua gari. Walipofika nikampa mteja business kadi yangu kisiri halafu nikamuambia aseme gari halitaki mbele ya dalali halafu wakiachana na dalali anipigie tuyajenge. Kweli mteja akasema mbele ya wote kwamba gari halitaki. Baada ya nusu saa mteja Kaja kuchukua gari bila kutoa Ada ya dalali.
 
Back
Top Bottom