Kijana LOGICS
Senior Member
- Dec 16, 2023
- 140
- 536
Huo ni mzunguko wa pesa kila mtu apate, km hutaki zunguka mwenyewe utafute km utapata hiyo fremu
Umatepeliwa VP kizembeBila madalali kuna watu wangetapeliwa mpaka akili ziwakae sawa, mtu wa tatu ni wa muhimu sana kwa mazingira ya huku kwetu.
Pia serikalini tunaongozwa na viongozi madalaliKWA BONGO HII HUWEZI MKWEPA DALALI... TENA MA WIFE ZETU NDIO MADALALI TUNAO ANZA NAO KILA SIKU NDIO WANAFUATA HAWA WA MTAANI KWA WALIO OA WA NAJUA HII.
KUMKWEPA DALALI MPAKA YESU ARUDI.
We kama huitaji huduma yao fanya unavyoona wewe ni sahihiUmatepeliwa VP kizembe
Bro una kichwa kigumu mno, ni wapi mtoa mada amelalamikia 20k na 30k?Sasa hiyo 20k na 30k ndio unalalamika hivyo,ukienda Kariakoo madalali wanapotaka 5ml na kuendelea si ndio hutafanya biashara kabisa.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
HahahahahKWA BONGO HII HUWEZI MKWEPA DALALI... TENA MA WIFE ZETU NDIO MADALALI TUNAO ANZA NAO KILA SIKU NDIO WANAFUATA HAWA WA MTAANI KWA WALIO OA WA NAJUA HII.
KUMKWEPA DALALI MPAKA YESU ARUDI.
Hiyo Ni Biashara inamapunguziano Unaweza Mwambia ok Sawa unauza million 250 lakini mimi Nina million 100 uone anasemajeKuna kiwanja Mbweni dalali kanambia kinauzwa kwa million 250, sasa wakati tuna kiangalia nikasema. Hiki kiwanja million 250 mbona nyingi sana mmiliki alishtuka kusikia million 250.
Mmiliki alisema mimi nataka million 150 tu huyu dalali mwizi sana[emoji1787][emoji1787]