Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naheshimu madanga ya mke wangu Mimi maana ndo yananipa faida.......Haya mambo yanatokea Tanzania hiii kama sio chai?
Hili jambo nirahisi sana kusoma humu jf lakini omba sikukute kabisa!
Hivi kweli uibe mke wa mtu halafu uwe na ujasiri wa kuongea hivyo na mume wake sio mchezo aiseeee.....
Yani mke wako atembee na mtu mwingine halafu upate ujasiri wa kuongea na mtu anayetembea na mkeo tena kwa amani hivi aiseee ...
Naheshimu madanga ya mke wangu Mimi maana ndo yananipa faida.......Hakuna mwanaume anaeweza kukubaliana na mtu/mwanaume mwenzie anae mnyanganya tonge lake mdomoni hata kama amemchoka huyo mwanamke.
Nasema HAKUNA...
Mbona natamani nipate mume wa hivi
Nipo singleKwani saivi upo single?
Hata ungekuwa ni wewe Yaani mume boya hivyo jamani[emoji23][emoji23][emoji23] hivi wahaya mnashida gani lakini?