Muda mwingine Rais Magufuli anapenda kufurahisha Jukwaa

Muda mwingine Rais Magufuli anapenda kufurahisha Jukwaa

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Hao anaowaita mabeberu na kuwashutumu yeye mwenyewe kila kitu chake anachokitumia anakito kwa mabeberu.

Ukianzia mifumo ya ulinzi anaotumia ni ya mabeberu, vifaa vya ulinzi kama Rada, frequency vyote ni mali zao

Mavazi hizo suti kutoka Italy anazovaa, Simu, Mikanda, Viatu, Miwani, Saa vyote vinatoka kwa mabeberu, Angalia ndege anazonunua ananunua kwa mabeberu.

Bidhaa tunazo import bandarini zote za mabeberu, Magari tunayotumia hata yeye ananunua kwa mabeberu yaani kiufupi ni ngumu sana kuishi bila wao mpa bokisa zinatoka kwao! leo useme mabeberu wabaya? Utatumia maiki ya mabeberu kutoa hotuba kuwashutumu mabeberu halafu unajiona mjanja sana.

Mabeberu niwabaya wanatoa ARV bure kwa watu wote Tanzania? Uje uwashutumu kwa mambo yapi mi nasema mabeberu wanatupenda sana kama hata bokisa tunazovaa zinatoka kwao halafu bado tunawatukana basi sisi ndi wenye tatizo.

Hebu tuacheni hizi mambo za kila kitu kusingizia mabeberu maana hatuwezi kuishi bila wao.
 
Mkuu hiyo haimaanishi akikutana na uovu aunyamazie tu.
 
Mkuu hiyo haimaanishi akikutana na uovu aunyamazie tu.
nia ovu zina namna yake ya kudeal nazo sio kama anavyofanya yeye huku akirusha tuhuma kwa watalaam wetu. hii ni vita,umeona wapi kiongozi wa vita ananyanyua mashine na kutia vilema wanajeshi wake
 
Huyu magufuli kama angekuwa ndiye raisi wa USA angejitangaza kuwa yeye ni mungu na tuanze kumuabudu
... sio rahisi maana Katiba ya kule haina "matundu" ya kipuuzi kama za shitholes.
 
... sio rahisi maana Katiba ya kule haina "matundu" ya kipuuzi kama za shitholes.
Kama haina 'matundu' ilikuwaje Clinton akanyonywa dole gumba na Monica Lewinsky ndani ya ofisi za Ikulu wakati ameapa kuilinda katiba!
 
Back
Top Bottom