Muda mwingine Rais Magufuli anapenda kufurahisha Jukwaa

Hata internet anayotumia ni Mali ya Beberu,yaani beberu akiamua chato ibaki gizani is just a fraction of second
 
Kama haina 'matundu' ilikuwaje Clinton akanyonywa dole gumba na Monica Lewinsky ndani ya ofisi za Ikulu wakati ameapa kuilinda katiba!
... umeelewa nilichoandika na ulichojibu lakini? Ndio maana alidakwa na akashtakiwa kwa kuchezea ofisi ya umma! Shitholes hata ufanyike ufirauni wa kutisha state house hakuna wa kumgusa mhusika.

Kesi ya Clinton ingekuwa shitholes na kama mngeshtukia issue (kama mngekuwa na ubavu huo) sana sana mngekejeliwa "... kwani mkuu yeye sio binadamu? yeye hasikii hamu?" issue ingefungwa na wapuuzi wangetetea kwa kuomba aongezewe muda! Shitholes!
 
Na ukitaka kula naye mpe sifa tu.
 
Katuona watanzania hatuna akili za kutafakari kwa kina. Tunawaza kwa kutumia makalio na tumbo. Bonge la msanii anajua kucheza na aakili za watu
 
Beberu ni mbaya... Ananuka lakini bila yeye hupati mbuzi wengine!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…