Muda mwingine unapokuwa unahitaj extra motivation chukua picha yako ya utotoni, then iangalie kwa kina huku uki-reflect kwa kina jambo linalokusumbua

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
The goal haswa ni kukujenga katika upya maana utoto unafanania na una respresent mwanzo.

Jiulize huyu dogo naemuona hapa angefanya unyama huu naotaka kufanya?

Jiulize hivi huyu dogo namtendea haki kweli yeye na wale waliomlea kwa hatua hii ndogo niliofika?

Jiulize hivi huyu dogo angejua kuwa angekuja kuwa cha wote mtaani angekubali kuwa mkubwa kweli?

Jiulize hivi mbona dogo alikuwa poa na innocent nimekuja kumuharibu na ulevi wa kupindukia kiasi hiki, mbona simtendei haki?

ETC,
26833799c92f3e616fcb19329802b5ec.jpg
 
View attachment 3234942
Safi sana. Tatizo watu wengi hawana picha za utotoni.
 
Back
Top Bottom