Muda mwingine unaweza kudhani wanaJF wapo busy na maisha kumbe!!!

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
33,894
Reaction score
76,810
Una refresh nyuzi usome mpya yanayojiri wapi hakuna uzi mpya wala watu wanaochat. Ila ukiangalia kule member waliopo online unaona wengi.

Mimi ninachotaka kusema tu endeleeni kuchat PM wenyewe tu siku zikiwekwa wazi tuwacheke vya kutosha.

Wengine waliosingle wanakuwa online muda wote tu waone kama kuna kapm katatumwa kimakosa ili apate kukajibu.

Ila kuna PM zingine hata zikiwekwa wazi hazina yale maneno romantic...

Assume PM ya Marianah na Lizarazu zinawekwa jukwaani si watakuwa wanabishana jinsia ipi inahaki kuizidi ingine?
 
Hutumii maneno mazuri kwenye nyuzi...

Hakimisha ukiqoutiwa uanze na maneno matamu kama babe,hubby, darling, kisuza roho changu, bundle mjibu post, n.k
Babe, hubby, darling nitawaita wangapi jamani mmoja tu inatosha babe wangu [emoji847]
 
Babe, hubby, darling nitawaita wangapi jamani mmoja tu inatosha babe wangu [emoji847]
Mwambie babe aache unaa hivyo viunganishi tu....

Wewe naona hautaki PM ijae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…