Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Una refresh nyuzi usome mpya yanayojiri wapi hakuna uzi mpya wala watu wanaochat. Ila ukiangalia kule member waliopo online unaona wengi.
Mimi ninachotaka kusema tu endeleeni kuchat PM wenyewe tu siku zikiwekwa wazi tuwacheke vya kutosha.
Wengine waliosingle wanakuwa online muda wote tu waone kama kuna kapm katatumwa kimakosa ili apate kukajibu.
Ila kuna PM zingine hata zikiwekwa wazi hazina yale maneno romantic...
Assume PM ya Marianah na Lizarazu zinawekwa jukwaani si watakuwa wanabishana jinsia ipi inahaki kuizidi ingine?