Muda mwingine unaweza kudhani wanaJF wapo busy na maisha kumbe!!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kwa sauti sana tumeoana kijf jf
Kwa hicho kicheko weye nakuona miaka mingine 3 ijayo...tuombe uhai nitakukumbusha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uko poa sana Mkuu labda hawakusomi vizuri.
Hahongi huyo..hatoi hata ya Toyo.
 
[emoji1787][emoji1787] Mimi nimezaliwa kucheza kwaito za wenzangu acha waolewe wengine
Daaah... na endelea kuzicheza tu.

Nanavyokuwa na hisia kanisani/kwenye kufungwa ndoa utasema wewe ndiye bibi harusi.
 
Hao watu wawili uliowataja ukute pm huko mahaba moto moto. Na picha washatumiana wako stage ya WhatsApp chat now.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…