Cc Saint anne.Yupi?
Nikikupiem halafu siku nikakuboa hautachomoa betri kweli?Tumsubiri aje aseme. Ila naitamani kweli Pm yako. Yaani nikiipata huchomoki.๐๐
Mimi hata sio mtawa jamani.Kafanyaje huyo Mungu wako mtakatifu anne?
Lini?
Muda huo wa kushika simu tutautoa wapi?
Nikajua tutakuwa tunafanya mengine ya ukweli zaidi ya kupost.
Itategemeana umeniboa vipi? (Kwa jinsi gani)๐๐Nikikupiem halafu siku nikakuboa hautachomoa betri kweli?
Basi niPm nionyeshe uwezo.Mimi hata sio mtawa jamani.
Sijagusa kabisa huko
Wanadanganya Hawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bidada ya kweli haya? [emoji12][emoji12][emoji12]
Hahaha..acha uoga wewe.
Uwezo gani?Basi niPm nionyeshe uwezo.
Basi siulizi Tena[emoji850]Hii lini ndiyo siijui...ila una maswali.
Wanadanganya Hawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itategemeana umeniboa vipi? (Kwa jinsi gani)๐๐
Ukuje pm basi mtakatifu nataka upako wako.Uwezo gani?