Mbona namm hunitumiiKwahiyo hizo pm mnatumiana kindugu si ndio?
We nimekutumia kama 20 hivi haujajibu hata moja.Mbona namm hunitumii
Aise...We nimekutumia kama 20 hivi haujajibu hata moja.
Pm yangu ipo closed 😅😅Bulubendi nimekupm kaiprint basi.
Na ni mapacha tusiofahamiana 😅Ujue me na wewe ni mapacha tusio fanana.
Wengine mnatuonea hatujui hata betri zilizopo.
Kabisa kabisa pacha wangu.Na ni mapacha tusiofahamiana [emoji28]
mkoa wowote ule mkuu ila tu awe anaishi mjini afu awe na pesa baas.Unataka jimama la mkoa gani mkuu....
MmmhhhHuko pm mbona kwangu hawaji [emoji1745]
Yeye ako na mbinu eenh
Yule fundi...anapokwama tu nikutokuleta uzi.
Alete uzi wa nini sasa
Naona mmeniundia barazaAnajua vyema...hii siri yetu..... hivi babe wako yule yule wa 2016??
Acha uongohivi hata mtu kukutembelea pm nako kunahitaji connection? mbona mimi sijawahi kupata pm.
Sijawahi pata PM kigori kweli tena.Acha uongo
Si umefunga pmSijawahi pata PM kigori kweli tena.
Hata wewe njoo basi unitolee gundu.