Kabisa kabisa pacha wangu.
Halafu we Kulwa me Doto [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakufungulia haya ukuje.Si umefunga pm
MmmhhhNakufungulia haya ukuje.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wengine pm hadi zimeota magugu[emoji21]
Haujapata hata baada ya kupost kauzi?
Huko pm mbona kwangu hawaji [emoji1745]
Bado namsaka.Amekuja?
usiniambie ile yangu ime-dissolve 😔😔pm yangu iko sufuri bin sufuri. Karibuni warembo wa JF
Anatuchora tu. Anasoma na kupita kimya kimya.Bado namsaka.
Sijui amejificha wapi huyu jamaa..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anatuchora tu. Anasoma na kupita kimya kimya.
Subiri nitakupm boss, hilo tu??Siku nikitumiwa pm na mdada
Nita iprint nibandike room
Daah sijawahi hata mara moja [emoji28]
Zaidi zaidi shunie nlmwomba kitabu nduuki
Daah haya maisha yana madaraja sana
Bichwa lako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi hata mtu kukutembelea pm nako kunahitaji connection? mbona mimi sijawahi kupata pm.
Nimeshangaa sanaHivi zeshchriss anakwama wapi asee hadi unaanza kutafuta koneksheni za huko piem?