mwanamke pekee ninayekuhusudu baada ya mama yangu.Bichwa lako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahaHuko pm mbona kwangu hawaji [emoji1745]
Nimeshangaa sana
mwanamke pekee ninayekuhusudu baada ya mama yangu.
wewe ni watatu kulwa wanguCc Billnas
Afadhali kama nipo tatu bora zako 😅wewe ni watatu kulwa wangu
Sitaki[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]mwanamke pekee ninayekuhusudu baada ya mama yangu.
hutaki vipi tena mwenzio nakupenda.Sitaki[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
nina sifa zote za kuwa doto.Afadhali kama nipo tatu bora zako [emoji28]
Halafu unajua nina uhakika wewe ndio kulwa [emoji23][emoji23]
hutaki vipi tena mwenzio nakupenda.
Naomba atoe maelezo yaliyonyooka kuhusu hili
Lazima chit chat ipate kizunguzungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akija hapa...chit chat itageuka
[emoji24][emoji24]Meghairi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373][emoji1373][emoji1373]Lazima chit chat ipate kizunguzungu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nimecheka sana Daby.Una refresh nyuzi usome mpya yanayojiri wapi hakuna uzi mpya wala watu wanaochat. Ila ukiangalia kule member waliopo online unaona wengi.
Mimi ninachotaka kusema tu endeleeni kuchat PM wenyewe tu siku zikiwekwa wazi tuwacheke vya kutosha.
Wengine waliosingle wanakuwa online muda wote tu waone kama kuna kapm katatumwa kimakosa ili apate kukajibu.
Ila kuna PM zingine hata zikiwekwa wazi hazina yale maneno romantic...
Assume PM ya Marianah na Lizarazu zinawekwa jukwaani si watakuwa wanabishana jinsia ipi inahaki kuizidi ingine?
Tehteh...haya mkuu kila kheri....kama utaweza kumtuliza isije ikawa hadi PM mlianza na ligi kwanza.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimecheka sana Daby.
Kwamba mimi na Marianah popote pale ni mwendo wa ligi tu hata sehemu ambazo yapaswa tuwe romantic[emoji1787][emoji1787]
Anyway kuna bonge moja la surprise litakuja hivi karibu linatuhusu mimi na huyo mama la mama.
Stay tuned.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naam
Nimekuja tayari.
Taratibu Lizarazu...huku upo chit chat[emoji85].[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimecheka sana Daby.
Kwamba mimi na Marianah popote pale ni mwendo wa ligi tu hata sehemu ambazo yapaswa tuwe romantic[emoji1787][emoji1787]
Anyway kuna bonge moja la surprise litakuja hivi karibu linatuhusu mimi na huyo mama la mama.
Stay tuned.
Huyo mbona atatulia tu hapa mzee baba!! Kwanza hata yeye mwenyewe hapa anaona yuko mahala sahihi.Tehteh...haya mkuu kila kheri....kama utaweza kumtuliza isije ikawa hadi PM mlianza na ligi kwanza.