Muda mwingine unaweza kudhani wanaJF wapo busy na maisha kumbe!!!

Muda mwingine unaweza kudhani wanaJF wapo busy na maisha kumbe!!!

Una refresh nyuzi usome mpya yanayojiri wapi hakuna uzi mpya wala watu wanaochat. Ila ukiangalia kule member waliopo online unaona wengi.

Mimi ninachotaka kusema tu endeleeni kuchat PM wenyewe tu siku zikiwekwa wazi tuwacheke vya kutosha.

Wengine waliosingle wanakuwa online muda wote tu waone kama kuna kapm katatumwa kimakosa ili apate kukajibu.

Ila kuna PM zingine hata zikiwekwa wazi hazina yale maneno romantic...

Assume PM ya Marianah na Lizarazu zinawekwa jukwaani si watakuwa wanabishana jinsia ipi inahaki kuizidi ingine?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nimecheka sana Daby.

Kwamba mimi na Marianah popote pale ni mwendo wa ligi tu hata sehemu ambazo yapaswa tuwe romantic🤣🤣

Anyway kuna bonge moja la surprise litakuja hivi karibu linatuhusu mimi na huyo mama la mama.

Stay tuned.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimecheka sana Daby.

Kwamba mimi na Marianah popote pale ni mwendo wa ligi tu hata sehemu ambazo yapaswa tuwe romantic[emoji1787][emoji1787]

Anyway kuna bonge moja la surprise litakuja hivi karibu linatuhusu mimi na huyo mama la mama.

Stay tuned.
Tehteh...haya mkuu kila kheri....kama utaweza kumtuliza isije ikawa hadi PM mlianza na ligi kwanza.
 
Taratibu Lizarazu...huku upo chit chat[emoji85].
Magazeti yako hatuyahitaji[emoji28]
 
Tehteh...haya mkuu kila kheri....kama utaweza kumtuliza isije ikawa hadi PM mlianza na ligi kwanza.
Huyo mbona atatulia tu hapa mzee baba!! Kwanza hata yeye mwenyewe hapa anaona yuko mahala sahihi.

Si unajua mbishi anaonoga akikutana na mbishi mwenzie.

Tukiweka wazi pm zetu mtasinzia maana ni maandishi marefu kama gazeti la the guardian, halafu sasa humo humo ndio kuna mitongozo.
 
Back
Top Bottom