Muda na vyeo ndio unawahadaa watawala wa awamu ya tano, wanadhani wanayoyafanya hayajulikani

Muda na vyeo ndio unawahadaa watawala wa awamu ya tano, wanadhani wanayoyafanya hayajulikani

Hata sisi tulidai Uhuru kutoka kwa Mabeberu Mkuu, Mbona unajisahaulisha

Tuliwafukuza mabeberu weupe matajiri na wenye akili, saa hii tuko chini ya mabeberu weusi wanuka shida wenzetu, wanaotumia nguvu kuliko akili.
 
Tuliwafukuza mabeberu weupe matajiri na wenye akili, saa hii tuko chini ya mabeberu weusi wanuka shida wenzetu, wanaotumia nguvu kuliko akili.

Kuna maneno ya kufikirisha hapa.
 
Watawala wengi wanabweteka kwa kuacha kuwatumikia Wananchi

Waje Tanzania Wajifunze jinsi Rais Magufuli anavyowatumikia Watanzania

Kila kona ya nchi miradi mikubwa ya Maendeleo inafanyika
Hii ni moja ya Uzi bora kabisa ndani ya ukumbi huu kwa mwaka 2019. Mleta Uzi unastahili tuzo!
 
Kwa makusudi umejifanya huyaoni hayo yaliyoandikwa?
Huyo katumwa na System yenyewe kuja kupambana na wanaoikosoa Serikali ya mkulu hapa Jamii forum...

Kwahiyo usikubali kupoteza muda wako ktk kukibizana nae..
 
Nabii Seleiman alipoulizwa na Mungu unataka nikupe nini? akajibu ni HEKIMA tu Bwana wangu.
 
Ile mivyeo na kuzungukwa na walinzi kunawapofusha.
 
Ukijaribu kuuliza wasifu wa Mbowe, hasa ashule aliyosomea kidato cha nne na matokeo yake kabla hajaenda kujiunga kidato cha Tano, Jamii Forum aidha wanauondoa uzi au wanakupa ban? Kuna nini Jamii Forum mnazuia taarifa za watu kufahamu historia ya shule ya Chairman Mbowe?
 
Back
Top Bottom