Hata sisi tulidai Uhuru kutoka kwa Mabeberu Mkuu, Mbona unajisahaulisha
Tuliwafukuza mabeberu weupe matajiri na wenye akili, saa hii tuko chini ya mabeberu weusi wanuka shida wenzetu, wanaotumia nguvu kuliko akili.
Hii ni moja ya Uzi bora kabisa ndani ya ukumbi huu kwa mwaka 2019. Mleta Uzi unastahili tuzo!Watawala wengi wanabweteka kwa kuacha kuwatumikia Wananchi
Waje Tanzania Wajifunze jinsi Rais Magufuli anavyowatumikia Watanzania
Kila kona ya nchi miradi mikubwa ya Maendeleo inafanyika
Huyo katumwa na System yenyewe kuja kupambana na wanaoikosoa Serikali ya mkulu hapa Jamii forum...Kwa makusudi umejifanya huyaoni hayo yaliyoandikwa?