Muda niliokuja kujua itikadi kali ni waathirika wana roho mbaya ni pale walipomtupia matusi Mo Salah alivyo i-wish dunia "Christams njema"

Muda niliokuja kujua itikadi kali ni waathirika wana roho mbaya ni pale walipomtupia matusi Mo Salah alivyo i-wish dunia "Christams njema"

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
Mo salah kama upo humu nakushawishi endelea kupost kila mwaka mtu wangu.😂

Dunia ina maigizo mengi na umekataa kuwa katika moja wapo.

Yote haya mafanikio amepata kutokana na kutobaguliwa kutokana na imani yake. Anashangiliwa na kupendwa na hao hao wanaotengeneza miti ya christmas.

Yani mtu anakula maisha na anapata pesa ambayo atakula maisha yake yote na atarithisha watoto wake alafu wewe uliopo mto wa umbu unaleta imani za njaa njaa hapa.

Screenshot_20250217-081426.png
 
Back
Top Bottom