Muda sahihi wa kuanza clinic

Yaani ukishahisi tu una mimba ni vzr kwenda RCH/Hospitali maana kuna some complications zinaweza kugundulika na kuwa attended mapema. Pia kuna vipimo muhimu ni vzr kuchukuliwa mapema mf HIV, H pyroli nk.

Ushauri wa lini urudi utaupata huko huko RCH

Hongera, u are a woman!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha asante mkuu hiyo sentensi hapo kua sasa i am a woman imenifanya nitabasam

Kiref cha RCH ni nn? Regional Clinic hospitals au inamaana gan
 
Hahaha asante mkuu hiyo sentensi hapo kua sasa i am a woman imenifanya nitabasam

Kiref cha RCH ni nn? Regional Clinic hospitals au inamaana gan
Yap, mwanamke kamili ni yule ambaye ana afya ya mwili na uzazi.

RCH- Reproductive and Child Health clinic. Ni kitengo maalum kwa ajili ya afya ya uzazi na devt ya mtoto. Issue zote cha uzazi, chanjo, elimu nk zinatolewa hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Loh!! Si kwa kiref changu nilichotoa hahahahah asante nimeelewa nishajua pa kwenda uzuri hospitals nilizokua natajiwa zote ziko na hiko kitengo

Sikutegemea kubeba kwa kipindi hiki yan hata ile akili kua itaingia kwa sasa nilijua bado kuumwa umwa ndio kukanifanya nikajigundua na hali hiyo nilikua tu surprised na fraha tu
 
Kitu kimezama bila taarifa bhana! Pokea tu mpendwa! Love the kid since in stomach. U gonna enjoy mothering!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kitu ambacho nilikua nakitamani halaf kikawa hakiji kwenye muda nilokua nataka kimekuja wakat huu sina namna nimekipokea tangu jana nawaza hii safar nilioianza najikuta natabasam tu

Wanasema Mungu huwa hawahi wala hachelewi, bali hujibu kwa wakati wake sahihi. Mshukuru kwa hilo shem!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mrejesho:

Wapendwa, nimefanikiwa kwenda leo, tumeshaanza tayari nimepata somo na tiba kwa pamoja nashukuruni kwa michango yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…