crista galli
Member
- Oct 7, 2013
- 13
- 11
Wadau naomba kuuliza kuna uwezekano wa kujua jinsia ya mtoto kwa vipimo na vifaa vya hospitalini kwa mimba ya mwezi mmoja?
Wenye ujuzi naomba kujuzwa
Wenye ujuzi naomba kujuzwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuuMiezi mitano ndo inaonekana ktk kipimo
(Ultrasound)
Hospitali gani ndugu ulienda?mi niliambiwa nani ya 6 weeks, na nikaambiwa na ni mapacha, tena mmoja wa kike na mwibgine wa kiume, ni kweli wamezaliwa hivyo, 100%
Atakuwa ni mtoto wake wa kwanza ana kimuemue huyo duh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mimba mwezi mmoja unataka kujua jinsia????
Mmmh hii kali ya kufungia mwaka[emoji28] kwa style hii mimba miezi 3 ameshanunua kila kitu mpaka vifaa vya kujifungulia na begi linakaa mlangoniAtakuwa ni mtoto wake wa kwanza ana kimuemue huyo duh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] watu na vijimamboMmmh hii kali ya kufungia mwaka[emoji28] kwa style hii mimba miezi 3 ameshanunua kila kitu mpaka vifaa vya kujifungulia na begi linakaa mlangoni
AhahahahahaMmmh hii kali ya kufungia mwaka[emoji28] kwa style hii mimba miezi 3 ameshanunua kila kitu mpaka vifaa vya kujifungulia na begi linakaa mlangoni
Kama huyo mdudu bado mnae muazime ndugu yetu huyuNilikuwa Mkoani Kuna Mdudu Anaitwa Mantis
Alikuja Tulipo Kwenye Mlango Akakaa Hapo Kwa Masaa Akaja Mama Mmoja Ana Shida
Akatuuliza Mnamjua Huyu Mdudu Hapa Ana Ujumbe Wenu Kati Yenu Kuna Mtu Mkewe Ana Mimba Na Atajifungua Mtoto Wa Kiume
Ikawa Kweli Miongoni Mwetu Siku Alipojifungua Ikawa Mtoto Wa Kiume
Kiongozi HaaKama huyo mdudu bado mnae muazime ndugu yetu huyu
Kiongozi Haa
Huyo Mdudu Anawatokea Tu Walengwa Hafungwi
Hivyo Siyo Rahisi Kuwa Naye Pia Alipokuwa Hapo Hatukujua Lolote Mpaka Huyo Anayejua Ana Maana Gani Ndiyo Akatufafanulia
Ndio Huyo Huyo MkuuHuku kwetu huwa tunamuita vunja chungu