Muda sahihi wa kujua jinsia ya mtoto

Muda sahihi wa kujua jinsia ya mtoto

crista galli

Member
Joined
Oct 7, 2013
Posts
13
Reaction score
11
Wadau naomba kuuliza kuna uwezekano wa kujua jinsia ya mtoto kwa vipimo na vifaa vya hospitalini kwa mimba ya mwezi mmoja?

Wenye ujuzi naomba kujuzwa
 
mi niliambiwa nani ya 6 weeks, na nikaambiwa na ni mapacha, tena mmoja wa kike na mwibgine wa kiume, ni kweli wamezaliwa hivyo, 100%
 
Unataka kujua jinsia yake ili iweje? Kama huna sababu za msingi basi achana na hilo jambo na elekeza maombi yako kwa M/Mungu akupe kiumbe kamili maana katika huko kudadisi ni sawa na kumfundisha M/Mungu kazi ya uumbaji na anaweza kukubabatiza ukazaa kiumbe kisicho kamili
 
Atakuwa ni mtoto wake wa kwanza ana kimuemue huyo duh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mmmh hii kali ya kufungia mwaka[emoji28] kwa style hii mimba miezi 3 ameshanunua kila kitu mpaka vifaa vya kujifungulia na begi linakaa mlangoni
 
Nilikuwa Mkoani Kuna Mdudu Anaitwa Mantis
Alikuja Tulipo Kwenye Mlango Akakaa Hapo Kwa Masaa Akaja Mama Mmoja Ana Shida

Akatuuliza Mnamjua Huyu Mdudu Hapa Ana Ujumbe Wenu Kati Yenu Kuna Mtu Mkewe Ana Mimba Na Atajifungua Mtoto Wa Kiume
Ikawa Kweli Miongoni Mwetu Siku Alipojifungua Ikawa Mtoto Wa Kiume
 
Kama huyo mdudu bado mnae muazime ndugu yetu huyu
 
Kama huyo mdudu bado mnae muazime ndugu yetu huyu
Kiongozi Haa
Huyo Mdudu Anawatokea Tu Walengwa Hafungwi
Hivyo Siyo Rahisi Kuwa Naye Pia Alipokuwa Hapo Hatukujua Lolote Mpaka Huyo Anayejua Ana Maana Gani Ndiyo Akatufafanulia
 
Kiongozi Haa
Huyo Mdudu Anawatokea Tu Walengwa Hafungwi
Hivyo Siyo Rahisi Kuwa Naye Pia Alipokuwa Hapo Hatukujua Lolote Mpaka Huyo Anayejua Ana Maana Gani Ndiyo Akatufafanulia

Huku kwetu huwa tunamuita vunja chungu
 
Back
Top Bottom