Muda sahihi wa kumpandisha ng'ombe
---
๐๐ ELIMU KWA WAFUGAJI
โฑ๏ธ MUDA SAHIHI WA KUPANDISHA NGโOMBE
---
๐ Kwa nini ni muhimu?
Kupandisha kwa wakati sahihi huongeza nafasi ya kushika mimba na kuepuka kurudia mara kwa mara.
---
โ
NGโOMBE JIKE ANAPOTAYARI KUPANDWA:
1.
Dalili za Joto:
- Kutokwa na ute mweupe wa kunata
- Kukosa utulivu na kurukaruka wenzake
- Kusimama unapomkalia (standing heat)
---
๐ MUDA SAHIHI WA KUPANDISHA:
- Pandisha saa 12 hadi 24 baada ya kuonekana dalili za joto
- Mbegu hupandikizwa wakati wa karibu na kuachia yai (ovulation), ambayo hutokea kati ya saa 24โ32 baada ya joto kuanza
โ
Kupandisha ndani ya muda huu husaidia kuongeza nafasi ya mbegu kukutana na yai kwa mafanikio.
---
๐ Kwa Uhimilishaji na Ushauri:
Dr. Gilliard โ Daktari wa Mifugo
๐ฑ 0674740836 | 0792263640
---
๐ฎ Panda kwa wakati, upate ndama bora na afya imara!