Muda si mrefu home patawaka moto masela wangu

achana naye
kama anakutaka kapigie nje ya home
Majaribu kama haya yaliwahi kunikuta miaka ya nyuma ambapo house girl na watoto wa mwenye nyumba walikuwa wanakuja ndani ya Geto na Khanga halafu Chuchu saa 6,
Kwa heshima ya Bro Nilivumilia, Lakini Vinginevyo Ningewalamba wote!
 
Ifike wakati mods thread Kama hizi mzifute ni utoto wa Hali ya juu Sana stori za kutunga
 
Acha kutuzingua umeshamlamba..... Yaani eti anajoto balaa ulijuaje? Ache wehu
 
Kwani story zako we ni zp
Ndio maana nilisena humu watoto Ni wengi sana na story zao za uongo uongo kuwe na Sheria ukijiunga jamii forum Ni uopewe mwaka ndio uruhusiwe kuanzisha uzi maana hii sasa tooo much imekuwa kama FB.
 
Vipi yule maza anaekulea Dom mmeshaachana au
 
Hata liwe jukwaa la mbao sema anaonekana dogo anatunga sana story za kindez

Mkuu as long as yuko kwenye jukwaa husika na hajavunja sheria mi naona sawa tu.

Maana MMU (Mahusiano, Mapenzi na Urafiki) huwezi kukuta habari za viwanda na uchumi huku.
 
Acha kupiga fix
 
Yaani umeona masela wako jf? hata nyie mnaochangia mmekubali kuwa masela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…