Nenda jukwaa la siasa kaka ukashindane na akina lizabonNdio maana nilisena humu watoto Ni wengi sana na story zao za uongo uongo kuwe na Sheria ukijiunga jamii forum Ni uopewe mwaka ndio uruhusiwe kuanzisha uzi maana hii sasa tooo much imekuwa kama FB.
Mwambie huyo maana hajitambui
Asante kwa wazo jema von moachana naye
kama anakutaka kapigie nje ya home
Majaribu kama haya yaliwahi kunikuta miaka ya nyuma ambapo house girl na watoto wa mwenye nyumba walikuwa wanakuja ndani ya Geto na Khanga halafu Chuchu saa 6,
Kwa heshima ya Bro Nilivumilia, Lakini Vinginevyo Ningewalamba wote!
Haha chief umeniacha hoiNgoja masela wako waje wakujibu