Muda si mrefu home patawaka moto masela wangu

Muda si mrefu home patawaka moto masela wangu

Kwa jibu hili tayari inaonesha cha kufanya unacho.

NB: uache kuuliza maswali ambayo tayari majibu ulishayapanga kichwani ila umekuja kutafuta supporters..
Nami ndo nacho kihitaji kutoka kwako
 
Ndio maana nilisena humu watoto Ni wengi sana na story zao za uongo uongo kuwe na Sheria ukijiunga jamii forum Ni uopewe mwaka ndio uruhusiwe kuanzisha uzi maana hii sasa tooo much imekuwa kama FB.
Nenda jukwaa la siasa kaka ukashindane na akina lizabon
 
Mkuu as long as yuko kwenye jukwaa husika na hajavunja sheria mi naona sawa tu.

Maana MMU (Mahusiano, Mapenzi na Urafiki) huwezi kukuta habari za viwanda na uchumi huku.
Mwambie huyo maana hajitambui
 
achana naye
kama anakutaka kapigie nje ya home
Majaribu kama haya yaliwahi kunikuta miaka ya nyuma ambapo house girl na watoto wa mwenye nyumba walikuwa wanakuja ndani ya Geto na Khanga halafu Chuchu saa 6,
Kwa heshima ya Bro Nilivumilia, Lakini Vinginevyo Ningewalamba wote!
Asante kwa wazo jema von mo
 
Mnafeli hapo tu.. Watunzi wengi mnaishiaga kwenye kanga moja na iliyolowana.. Hivi hamna idea mpya?
 
Watoto wetu wa kiume siku hizi. Duh
 
Back
Top Bottom