eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Huyu nafikiri roho itakuwa imemuuma sanaKidoti alifikiri ataolewa yeye
Acha ujinga mbadilike la sivyo hata mimi Nina mpango wa kuoa huko huko kenyaKinachonisikitisha ni wewe kumuonea wivu,kutamani usiyona uwezo nayo,na mengine meengi utadhani wewe ni KE!nadhani malalamiko hayo tulipaswa andika sie atii
sanaHuyu nafikiri roho itakuwa imemuuma sana
Wabongo wanatangaza njaa hadharanikazalisha sana dada zetu wa bongo... kuoa anaenda kuoa kenya...
labda sababu wanawake wa kikenya hawaombi ombi hela kama dada zetu wa kutoa laki 5 awe iphone na ma galaxy huku hana hata genge.. na analia hana mtaji
Nawalilia dada zetu kama kijana wa bongo haoi bongo hili tatizo kwa dada zetu wabadilikeMtoto wa Kiume unalialia mwanaume mwenzio kuoa nchi ya jirani..!?
Jinga kabisa..!!!
Acha bange mbona dada yako mange kaolewa US na mzungu inamaana wanaume wa Tz atueleweki? mapenzo ni upofu upapasa utakapoSiku zote inajulikana king of music wa bongo hana skendo mbaya anajitahidi sana kuziepuka na sasa king kiba anaoa hivi karibuni
Ameshatoa taarifa kwa watu muhimu muhimu akiwa na mpambe wake ommy dimpoz
Sasa kinachonisikitisha kweli Tanzania nzima hakuna msichana anaejielewa mpaka amehama nchi ameenda kutafuta Kenya
Kweli wasichana wa bongo hapa mmekosa sifa ya kuolewa na king kiba
Hii ni aibu mpaka kijana kama huyu anaenda nje ya nchi kuoa
Dada zetu mjirekebishe jamani au ally kiba kaamua kuwachunia tu
Ay naye nasikia alioa Rwanda huko
Mpunguzeni mapepe wasichana wa Bongo
Mange kwao marekani sio bongoAcha bange mbona dada yako mange kaolewa US na mzungu inamaana wanaume wa Tz atueleweki? mapenzo ni upofu upapasa utakapo
Hakuna mmarekani anaitwa mange yule ni ndugu yako wacha kumkanaMange kwao marekani sio bongo
We mbona una hulka za kike wewe? Maongezi ni kama vile kuolewa ni fursa na huoni kwamba ni two way traffic.Nawalilia dada zetu kama kijana wa bongo haoi bongo hili tatizo kwa dada zetu wabadilike