Muda sio mrefu king of music wa Tanzania anaoa lakini kinachonisikitisha ni kweli Aly kiba hajaona Bongo

Muda sio mrefu king of music wa Tanzania anaoa lakini kinachonisikitisha ni kweli Aly kiba hajaona Bongo

We mbona una hulka za kike wewe? Maongezi ni kama vile kuolewa ni fursa na huoni kwamba ni two way traffic.

Nachokiona ni kwamba unamuadmire jamaa hadi umepitiliza na kusahau jinsia yako. Huamini kwamba inawezekana kabisa huyo King wako alipenda bongo lkn akakataliwa. Yaelekea ungekuwa wa kike, jamaa angekutongoza hapo hapo uliposimama pichu ingeanguka miguuni fasta
Duuh dawa imemfikia
 
Waache tu na jeur yao wataolewa
Na baba zao

Me mwenyewe nmeshafika
rwanda imebak arus tu
 
hana skendo mbaya na anawatoto wa3 kila moja na mama yake ... skendo my ass
 
Siku zote inajulikana king of music wa bongo hana skendo mbaya anajitahidi sana kuziepuka na sasa king kiba anaoa hivi karibuni
Ameshatoa taarifa kwa watu muhimu muhimu akiwa na mpambe wake ommy dimpoz

Sasa kinachonisikitisha kweli Tanzania nzima hakuna msichana anaejielewa mpaka amehama nchi ameenda kutafuta Kenya
Kweli wasichana wa bongo hapa mmekosa sifa ya kuolewa na king kiba
Hii ni aibu mpaka kijana kama huyu anaenda nje ya nchi kuoa

Dada zetu mjirekebishe jamani au ally kiba kaamua kuwachunia tu
Ay naye nasikia alioa Rwanda huko

Mpunguzeni mapepe wasichana wa Bongo
Kwani dimondi alivyoenda kuoa yule sugarmami yuganda hapa tanzaniya hapakuwepo na mashugamami wa kuwaoa?mwacheni mfalme auage ukapela bhana

I have a dream.
 
Kwani wewe unampango wa kuoa bongo!!!!???

Kama ni hvo bs nikupe pole mapema kabisa ndugu yangu.
 
Kwani wewe unampango wa kuoa bongo!!!!???

Kama ni hvo bs nikupe pole mapema kabisa ndugu yangu.
Wasichana wa bongo wanapenda sana hela
Hata mimi nitaenda kenya tu
Niliwahi kuwa na demu wa kenya haombi hela mpaka we mwenyewe unajistukia hata mkitoka kwenda kula atakuambia acha nilipe
Bahati mbaya huyu demu alirudi kwao kenya sasa sijui ameshaolewa au bado kwa sababu nilipoteza mawasiliano naye
 
Mleta mada naona unatamani ungekuwa jokate nahusi ungebadilisha dini kabisa
 
Wasichana wa bongo wanapenda sana hela
Hata mimi nitaenda kenya tu
Niliwahi kuwa na demu wa kenya haombi hela mpaka we mwenyewe unajistukia hata mkitoka kwenda kula atakuambia acha nilipe
Bahati mbaya huyu demu alirudi kwao kenya sasa sijui ameshaolewa au bado kwa sababu nilipoteza mawasiliano naye
madem wanaoendekeza slogan ya kusema mwanaume inabidi ampe hela mpenzi wake...wanapatikana Tanzania tu.
 
Back
Top Bottom