masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Duuh dawa imemfikiaWe mbona una hulka za kike wewe? Maongezi ni kama vile kuolewa ni fursa na huoni kwamba ni two way traffic.
Nachokiona ni kwamba unamuadmire jamaa hadi umepitiliza na kusahau jinsia yako. Huamini kwamba inawezekana kabisa huyo King wako alipenda bongo lkn akakataliwa. Yaelekea ungekuwa wa kike, jamaa angekutongoza hapo hapo uliposimama pichu ingeanguka miguuni fasta
hahahahahahqqhhaha hiii hapa comment ya mwakaAcha bange mbona dada yako mange kaolewa US na mzungu inamaana wanaume wa Tz atueleweki? mapenzo ni upofu upapasa utakapo
Kwani dimondi alivyoenda kuoa yule sugarmami yuganda hapa tanzaniya hapakuwepo na mashugamami wa kuwaoa?mwacheni mfalme auage ukapela bhanaSiku zote inajulikana king of music wa bongo hana skendo mbaya anajitahidi sana kuziepuka na sasa king kiba anaoa hivi karibuni
Ameshatoa taarifa kwa watu muhimu muhimu akiwa na mpambe wake ommy dimpoz
Sasa kinachonisikitisha kweli Tanzania nzima hakuna msichana anaejielewa mpaka amehama nchi ameenda kutafuta Kenya
Kweli wasichana wa bongo hapa mmekosa sifa ya kuolewa na king kiba
Hii ni aibu mpaka kijana kama huyu anaenda nje ya nchi kuoa
Dada zetu mjirekebishe jamani au ally kiba kaamua kuwachunia tu
Ay naye nasikia alioa Rwanda huko
Mpunguzeni mapepe wasichana wa Bongo
.hana skendo mbaya na anawatoto wa3 kila moja na mama yake ... skendo my ass
mamboKinachonisikitisha ni wewe kumuonea wivu,kutamani usiyona uwezo nayo,na mengine meengi utadhani wewe ni KE!nadhani malalamiko hayo tulipaswa andika sie atii
Sasa kama hawa aina ya kina Diva eti mahali Mil500 nani aoe
Wasichana wa bongo wanapenda sana helaKwani wewe unampango wa kuoa bongo!!!!???
Kama ni hvo bs nikupe pole mapema kabisa ndugu yangu.
Mwanamme anapoingilia uchaguzi wa mwanamme mwingine, mtu baki, kuoa, wanaume wengine tutafikiri alitaka kuolewa yeye.Mtoto wa Kiume unalialia mwanaume mwenzio kuoa nchi ya jirani..!?
Jinga kabisa..!!!
madem wanaoendekeza slogan ya kusema mwanaume inabidi ampe hela mpenzi wake...wanapatikana Tanzania tu.Wasichana wa bongo wanapenda sana hela
Hata mimi nitaenda kenya tu
Niliwahi kuwa na demu wa kenya haombi hela mpaka we mwenyewe unajistukia hata mkitoka kwenda kula atakuambia acha nilipe
Bahati mbaya huyu demu alirudi kwao kenya sasa sijui ameshaolewa au bado kwa sababu nilipoteza mawasiliano naye
haha hahaa daaahh""Mtoto wa Kiume unalialia mwanaume mwenzio kuoa nchi ya jirani..!?
Jinga kabisa..!!!
hahaa hahaaaMilioni 500 umuoe Diva? Hiyo hela si bora ufungue bar watu walewe bure.
We si mpuuzi mpuuzi tuMwanamme anapoingilia uchaguzi wa mwanamme mwingine, mtu baki, kuoa, wanaume wengine tutafikiri alitaka kuolewa yeye.