Vito Corleone
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,418
- 5,257
Wakati nasoma sekondari pale Iyunga tech, Mbeya kuna mambo mengi niliyashuhudia ila leo nimekumbuka moja.
Kama mnavyojua Mbeya ni baridi la kwenda hivyo kuoga ni mtiti. Kwa hiyo kuoga masela ilikuwa Kwa nadra kishenzi yaani ukiona mwanafunzi mwenzako anaoga unashangaa.
Ila yote tupa kule Kuna huyo Msukuma kutoka Shinyanga jamaa alikuwa anaoga mara 3 kwa siku.
Wakati wasukuma wenzake mostly walikuwa wakioga siku ya wali tu yeye ilikuwa ni mara 3 kama dozi.
Ni wale machizi ambao maisha anayotoka unayaona tu ni ya kawaida ila ulikuwa huwezi kumwona kiatu kichafu au nguo ambayo haijanyoshwa.
Ilikuwa akitembea hatua mbili anajifuta vumbi na alipendelea kuvaa nguo nyeupe ili ijulikane habahatishi swala la usafi.
Shule nzima walikuwa wanamwita Sopu sopu na kutokana na jina kuwa kubwa hadi walimu walimfahamu na wakawa wanamtolea kama mfano hasa Kwa sisi wachafu na tuliogoma kuoga.
Ila tatizo lilikuja baada ya matokeo ya mtihani wa moko kutoka,na kama unavyojua mtihani huu hueleza utakachofanya nekta..... Jamaa kazungusha ziro ya maana.
Kumbuka hii shule ni zile ukipata dv 3 unachekwa na Kila mtu,ni shule ambayo wanapambania one ya Saba,ya nane huko na ukipata div 2 ni bahati mbaya sana.
Sasa imagine mtu maarufu skonga na Kila mtu anataja jina lake halafu anapata div 0 tena yeye mwenyewe ,ikifuatiwa na 2 chache na one kibao.Kumbuka kulikuwa hakuna 3 Wala 4.
Baada ya siku 3 tukaona jamaa kaacha kuoga yupo rafu rafu ni yeye na mzigo wa madaftari.
Kumbe ikawa toooo late ...nekta nayo akazungusha.
Life is a bitch some time.