Muda umefika Matola aondoke, Mo Dewj aondoke, ama aweke 20B

kt the irreplaceable

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2017
Posts
2,375
Reaction score
4,893
Wakuu poleni kwa kipigo, ni muda sasa Matola atupishe kwenye timu yetu, yeye ndio sumu. Kwanini makocha wakuu wote wanaondoka yeye anabaki? Viongozi mjitathimini.

Haya Mo Dewj aliahidi kutoa zile bilioni 20 kama asilimia 49 za umiliki wa timu, mpaka saizi hakuna hata shilingi mbovu imewekwa kwa account, ina maana sie wanachama na mashabiki ni mbumbumbu? Hoya hoya?

Sasa tunasema pesa iwekwe, vinginevyo.
 
Ushauri umeletwa na mkali mwiko nyuma pale jangwani
 
Bocco
Kibu
Matola
Nyoni
Banda
Akpan

Hawatufai kama timu ya muda mrefu


Wafuatao wabadilike au wabadilishwe

Manura anafunga magoli ya kujirudia rudia sana
Kwa kikosi hiki, tukipangwa na waarabu makundi zile 5 zitaanza kurud.
 
Afadhali mmepata chakujadili ili muachane na kocha wa yanga. Asante sana Azam FC.
 
Unaijua 20 Bilioni wewe?

20 Bilioni unaweza kununua Benki!

Your browser is not able to display this video.
 
Wiki nzima wako bize kujadili kocha wa Yanga mara Morrison kapigana na aucho wanasahau kua timu lao bovu linamapungufu kibao.
 
Mbumbumbu mwenye bahati ya kufaulu mitihani ya kikata na mara chache kiwilaya. Lakini mitihani ya mihula kwake ni changamoto.
Bado dk 360 tu kurudi kwny mitihani ya muhula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…