Muda umefika Matola aondoke, Mo Dewj aondoke, ama aweke 20B

Muda umefika Matola aondoke, Mo Dewj aondoke, ama aweke 20B

Wakuu poleni kwa kipigo, ni muda sasa Matola atupishe kwenye timu yetu, yeye ndio sumu. Kwanini makocha wakuu wote wanaondoka yeye anabaki? Viongozi mjitathimini.

Haya Mo Dewj aliahidi kutoa zile bilioni 20 kama asilimia 49 za umiliki wa timu, mpaka saizi hakuna hata shilingi mbovu imewekwa kwa account, ina maana sie wanachama na mashabiki ni mbumbumbu? Hoya hoya?

Sasa tunasema pesa iwekwe, vinginevyo.
Ujinga unaongea..
 
Simba SC ilizikwa ile siku ya Simba (Simba Day)!
118fe697ae204d0ca9a45e289e3e01a5_345243350_556654289916613_2075794506801275514_n.jpg
 
Back
Top Bottom