Muda umefika sasa wa kumpata Undisputed Champion

Muda umefika sasa wa kumpata Undisputed Champion

AJ anazo mandatory fights mbili, ila ya kwanza ambayo anatakiwa kuidefend ni dhidi ya Kubrat Pulev (IBF) then ndo itakuja ya Usyk (WBO)

Sent using Jamii Forums mobile app
Joshua vs Pulev, June 20 wamethibitisha, June 18 Wilder vs Tyson Furry 3 (Bado kwenye mipango).
boxingexposure_20200303_1.jpeg
 
Unajikuta heavyweight akati hujala unapigwa kichizi hadi unakimbia ulingo.
 
Nakataa hoja yako ya kwamba AJ anamuogopa DW.
Deontay Wilder alikataa offer ya dollar million 100 za DAZN ili apambane na AJ baada ya kugundua kuwa AJ atapata mara mbili ya hiyo pesa. Promoter wa AJ alitaka sana pambano lifanyike last year pale Wembley. Lakini jamaa akachomoa akisisitiza apate mgao wa 50-50.

Deontay Welder toka apate mkanda wa WBC amekua akichagua mabondia wasio na uwezo kupigana nao na akikwepa mabondia wa maana. Alichagua kupigana na Fury akihisi kuwa atampiga kirahisi maana Fury aliomba pambano na Welder kimasihara na wkt huo alikuwa ametoka kwenye matatizo ya madawa na ma depression yaliyomuweka nje ya ring kwa miaka kadhaa.

Dillin whyte ndio mandatory challenger wa Deontay Welder na alikuwa anasubiri mshindi wa pambano la welder na Fury ili apigane na Mshindi.

Hivyo kuna uwezekano mkubwa wa pambano la Fury na AJ kutofanyika maana Fury kama atampiga tena Welder basi lazima atapigana na Dillin Whyte. Na pia Fury anapata shinikizo la kustaafu boxing kutoka kwa babaake pamoja na mke wake, hivyo tusishangae tukisikia jamaa kastaafu mwakani kabla ya kukutana na AJ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom